Kilimo Ajira – Cover Cropping

Kilimo Ajira - Cover Cropping

Hii leo, kwa ushirikiano na shirika la kilimo la Biovision Africa Trust, tutaangazia jinsi ya kuimarisha rotuba shambani kupitia utaratibu wa Crop Rotation, Soil Testing na Cover cropping. Hii ni hali ya mkulima kubadilisha aina ya mmea anayopanda katika shamba lake kila msimu.